Serikali imeagiza vituo vyote vya habari vya runinga za kitaifa na radio kusitisha mara moja matangazo ya moja kwa moja ya maandamano yanayoendelea katika maeneo mbalimbali...
Kikosi cha Raga wachezaji 15 kila upande Simbas imepata ushindi wake wa pili katika mechi za kujipima nguvu kabila ya kombe la bara Afrika baadaye mwakani....
Kilabu ya Olimpiki Lyon Ya Ufaransa imeshushwa ngazi katika ligi hiyo Ligi 1 hadi ligi ya daraja ya pili marufu kama Ligi 2 na chama cha...
Wafanyibiashara mjini Kilifi kaunti ya Kilifi wamewataka vijana kuwa makini wakati wa maandamano ili kuepuka uharibifu wa mali. Kulingana na wafanyibiashara hao kumekuwa na uharibifu wa...
Wavuvi kutoka eneo la Old Ferry wanadai kuna baadhi ya wavuvi ambao wanatumia nyavu ambazo zilipigwa marufuku. Kulingana na wavuvi, Nyavu hizo zinavua hadi samaki wadogo...