Kenya inapolenga kuongeza ushuru unaokusanywa katika sekta ya uchukuzi wa angani, suala la usalama wa ndege zinazosafiri kupitia mataifa yanayoshuhudia ghasia limeibua wasiwasi. Mkurugenzi wa Halmashauri...
Rais William Samoei Ruto ameahidi kununulia basi jipya Mabingwa wapya wa ligi kuu FKF PL Kenya Police kwa kazi kuntu waliofanya msimu huu. Rais alitoa ahadi...
Mama wa Taifa Rachel Ruto amesema serikali kuu inaendeleza mikakati thabiti kuhakikisha kila mmoja hapa nchini anawezeshwa vilivyo wakiwemo wajane ili waweze kujiendeleza kimaisha. Mama wa...
Bodi ya Bara Ulaya EU limeidhinisha kuchukuliwa kwa mashindano ya mbio za magari MotorGP na kampuni ya Liberty Media ya Marekani ambao pia ni wamiliki wa...
Wachezaji wa Tenesi kwa akina dada Naomi Osaka wa Japan na Victoria Azarenka wote wameweza kujikatia tiketi ya Raundi ijayo msururu wa Wimbledon baada ya kushinda...