Waandalizi wa mashindano ya Tenesi ya Wimbledon kumjengea mnara Bingwa mara mbili wa mchezo wa Tenesi Andy Murray kule All England Club. Mchezaji huyo aliandikisha historia...
Wakenya wa tabaka mbalimbali wamejitokeza katikati mwa miji mkuu nchini Kenya ikiwemo Nairobi, Mombasa, Nakuru, miongoni mwa miji mingine kuadhimisha makumbusho ya Juni 25. Maandamano hayo...
Wadau wa kupambana na dhulma za kijinsia mjini Malindi kaunti ya Kilifi wameitaka serikali ya kitaifa kuifanyia marekebisho sheria ya adhabu na dhamana inayopewa washukiwa wa...
Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Iran yameanza kutekelezwa huku nchi hizo mbili zikithibitisha tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu hatua hiyo....
Muungano wa waendeshaji wa tuktuk katika kaunti ya Kwale umetaka serikali ya kaunti hiyo kuwatengea sehemu maalum ya kudumu ya maegesho. Madereva hao walisema kuwa sekta...