Ujio wa tekinolojia umetajwa kuathiri biashara ya kuuza radio mjini kilifi kaunti ya kilifi. Kulingana na wafanyibiashara wa kuuza radio mjini kilifi biashara hiyo imedorora pakubwa...
Wahudumu wa bodoboda kutoka eneo la Kibaoni kaunti ya kilifi wanasema kuwa biashara hiyo imedorora baada ya wanafunzi kufunga shule kwa likizo fupi. Kulingana na Robert...
Wakulima wa mahindi humu nchini wanasema kuwa wanatarajia mavuno bora mwaka huu ikilinganishwa na mwaka jana. Kulingana na wakulima hao mvua inayoendelea kunyesha kote nchini inawapa...
Mashindano ya Mchezo wa Voliboli ya watu wanaoishi na ulemavu Barani Afrika kuandaliwa humu nchini Julai 1 hadi Julai 10. Tayari Droo ya makala ya mwaka...
Mwenyekiti wa kitaifa wa Taireni Association of Mijikenda, Peter Ponda Kadzeha amepinga madai kwamba wakaazi kuhusishwa katika miradi ya maendeleo katika eneo la Moi kadi ya...