Kilabu ya Wanabenki Kcb inayoshiriki ligi kuu taifa humu nchini imetangaza kumteua aliyekua kocha wa Tusker FC,Sofapaka na AFC Leopards Robert Matano marufu The Lion kunoa...
Mkufunzi wa Timu ya Taifa Brazil Carlo Ancelloti amemwambia mshambulizi wa kilabu hiyo Neymar ajiendae kwa kombe la dunia mwaka 2026 Kocha huyo aliyasema hayo muda...
Mastaa wakubwa duniani wakiwemo Kim Kardashian, Bill Gates, na Oprah Winfrey wamewasili Venice, Italia, kwa ajili ya kuhudhuria harusi ya kifahari ya mwanzilishi wa Amazon, Jeff...
Madereva nguli ulimwneguni Sebastian Ogier wa Ufaransa na Ott Tanak wa Estonia walimaliza kwa muda sawa katika raundi ya kwanza ya mbio za Magari za Acropolis...
Wakulima wa viazi tamu eneo la rabai kaunti ya kilifi wanakadiria hasara baada ya mimea yao hurabiwa na wadudu. Kulingana na wakulima hao dawa za kuuwa...