Rais William Ruto anatarajiwa kuondoka humu nchini na kuelekea nchini Uhispania na Uingereza kwa ziara ya kiserikali. Kulingana na taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Rais na...
Sasa ni rasmi kwamba aliyekua mshmabulizi wa AFC Leopards na Young Africans ya Tanzania Bonface Ambani ndiye mwenyekiti mpya wa kilabu ya Afc Leopards Uchaguzi uliofanyika...
Rais William Samoei Ruto amempandisha cheo Meja Jenerali David Kipkemboi Ketter hadi cheo cha Luteni Jenerali na kumteuwa kuwa Kamanda mpya wa Jeshi la nchi Kavu....
Ripoti ya mkaguzi wa bajeti nchini imebaini kwamba kaunti ya Kilifi haijatumia mgao wa bajeti ya shilingi milioni 220 uliotengewa mpango wa kushughulikia athari za mabadiliko...
Kilabu ya Leicester City imetangaza kuachana na kocha wake Ruud Van Nistelrooy mchezaji wa zamani wa manchester united. Kocha huyo aliteuliwa mwezi Disemba kumrithi kocha Steve...