Mkufunzi wa Shule Ya Upili ya Jaribuni Hassan Pande amesema kwmaba iwapo watabanduliwa kwenye hatua ya makundi mashindano ya Shule za Upili ukanda wa Pwani Mpeketoni...
Idadi ya wachuuzi wa njugu mjini Kilifi kaunti ya Kilifi imetajwa kuongezeka msimu huu ikilinganishwa na hapo awali. Kulingana na Kazungu Kaingu, vijana wengi punde wanapomaliza...
Kilabu ya Nairobi United ndiyo mabingwa wa kombe la FKF Cup baada ya kunyuka Gor Mahia magoli 2-1 uwanjani Ulinzi Sports Complex hapo jana. Kiungo Frank...
Wafanyabiashara kutoka ndani na nje ya nchi wamehimizwa kushiriki kikamilifu kwenye maonyesho ya kilimo yatakayofanyika mwezi wa september mwaka 2025 katika uwanja wa maonyesho ya kilimo...
Viongozi wa dini ukanda wa wamemkosoa naibu rais profesa Kithure Kindiki kuhusiana na kauli yake kwamba baadhi ya viongozi wa dini na wanadiplomasia walihusika katika kuunga...