Chama cha mawakili nchini LSK tawi la Malindi kimeshtumu ukiukaji wa sheria uliotekelezwa na viongozi wa bunge la kaunti ya kilifi kwa kupuuza agizo la mahakama...
Wito umetolewa kwa serikali ya kaunti ya Kilifi kujenga ukumbi maalum ambapo wakulima wataweza kupeleka mazao yao. Kulingana na mwenyekti wa soko la magarini kaunti ya...
Waziri wa Utalii, Utamaduni na Biashara katika Kaunti ya Mombasa, Mohammad Osman, amesema sekta ya utalii imekuwa ikidorora katika miaka ya hivi karibuni, hali ambayo huenda...
Baadhi ya mawakili nchini wanataka chama cha mawakili nchini LSK kuwaondoa kwenye orodha ya mawakili, naibu rais Prof Kithure Kindiki na waziri wa usalama wa ndani...
Kulikuwa na kizaazaa Julai mosi 2025 katika kijiji cha Mabirikani eneo la Eureka Mitangoni karibu na Mavueni kaunti ya Kilifi baada ya mwanamume anayedaiwa katumia nguvu...