Waziri wa madini na uchumi wa raslimali za bahari nchini Hassan Ali Joho amesema wanawake nchini wanapaswa kuwezeshwa ili wajiendeleze kimaisha. Joho ambaye alikuwa akizungumza katika...
Mbunge wa Likoni Mishi Mboko amempongeza rais William Samoei Ruto, akisema uongozi wake haujawabagua wakaazi wa Pwani katika masuala ya maendeleo. Akizungumza mjini Garsen katika kaunti...
Naibu wa Rais Prof. Kithure Kindiki amesema serikali kuu inaendeleza mikakati ya kuimarisha taifa hili kiuchumi. Akiwahutubia wakaazi wa Garsen kaunti ya Tana River, Prof. Kindiki...
Wahudumu wa sekta ya Tuktuk mjini Malindi kaunti ya Kilifi wamelalamika kuhangaishwa na maafisa wa trafiki mjini humo licha ya kutimiza vigezo hitajika vya kuwaruhusu kuhudumu...
Mamlaka ya bandari nchini KPA imeanza kutumia mashine za kufyonza ukungu maarufu mist blower fogging units katika bandari ya Mombasa, ili kudhibiti vumbi hatari linalotokana na shughuli...