Bingwa wa nishani ya fedha mbio za olimpiki mitaa 3000 kuruka maji na viunzi Faith Cherotich anatarajiwa tena kuzindua uhasama na bingwa wa Olimpiki raia wa...
Timu ya Taifa ya Soka Harambee Stars kucheza taji la Cecafa ukanda wa Afrika Mashariki mjini Dar-es-Salaam Tanzania ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Chan mwezi...
Viongozi wa upinzani wameikosoa serikali kwa kukosa kutekeleza ahadi walizotoa kwa wananchi hasa katika kufufua miradi ya kiuchumi nchini. Wakiungumza katika kaunti ya Kakamega viongozi hao...
Maafisa wa Idara ya utawala wa mkoa katika wadi ya Junju kaunti ya Kilifi imeonya wakaazi wa kijiji cha Mwembetsungu dhidi ya kuendekeza visa vya wizi....
Ripoti ya upasuaji wa maiti ya mchuuzi wa barakoa aliyepigwa risasi kwa karibu na maafisa wa polisi wakati wa maandamano jijini Nairobi imebaini kuwa vipande 4...