Kelechi Afrikana, kwa mara nyingine tena ametoa ujumbe mzito kwa wale wanaotafuta umaarufu (clout) kupitia jina lake, akisisitiza kuwa muziki unapaswa kuwa msingi wa mafanikio ya...
Mahakama kuu ya Malindi imebatilisha uamuzi wa bunge la kaunti ya Kilifi wa kumtimua Mamlakani Spika wa bunge hilo Teddy Mwambire na kuagiza Spika Mwambire kurejea...
Watu wanne wamethibitishwa kuaga dunia wakati wa maandamano ya kuadhimisha miaka 35 ya kumbukumbu za Sabasaba ambapo watu 2 wamepiga risasi na kufariki katika maeneo ya...
Wahudumu wa matatu katika barabara ya kutoka kaloleni Mombasa wanasema Biashara zao zimedorora kutokana na msongamano ambao unashuhudiwa katika eneo la miritini hadi jomvu. Kulingana na...
Baadhi ya Wanaharakati kaunti ya Mombasa wakiongozwa na Amina Ridhwan wametoa wito kwa serikali kuu kufanya mazungumzo na vijana wa kizazi cha Gen Z ili kusitisha...