Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua amekanusha madai kwamba mrengo wa upinzani unapanga kumuondoa rais William Samoei Ruto madarakani. Katika taarifa yake ya siku ya Jumatano...
Baadhi ya wakulima wa mahindi katika eneo la chonyi kaunti ya kilifi wanakadiria hasara kutokana na mvua nyingi ambayo inaendelea kunyesha maeneo mengi nchini. Kulingana na...
Wadau mbalimbali wa kilimo wametoa wito kwa Serikali kuanzisha somo la teknologia ya kilimo kwenye mtaala wa masomo humu nchini ili kuimarisha uzalishaji wa chakula nchini....
Wiki iliyopita, Combs alipatikana na hatia kwa makosa mawili ya usafirishaji kwenda kufanya ukahaba baada ya kesi ya wiki nane. Anakabiliwa na kifungo cha hadi miaka...
Serikali kupitia kwa Wizara ya Michezo imedokeza kwamba wanariadha wote wanaovunja rekodi na kufanya vizuri mashindano ya Olimpiki watavuna vinono haya ni kwa mujibu wa Waziri...