Tume ya jinsia na usawa NGEC inasisitiza umuhimu wa kuwashirikisha wanaume ili kudhibiti visa vya dhuluma za kijinsia nchini. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mkakati...
Biashara ya kuuza matikiti maji mjini malindi kaunti ya kilifi imedorora msimu huu wa mvua ikilinganishwa na wakati wa kiangazi. Kulingana na Edward Hinzano mchuuzi wa...
Vijana eneo bunge la Kaloleni na Kilifi kwa ujumla wamehimizwa kujiunga kwenye mashirika ya akiba na mikopo ili kupata mtaji wa kuanzisha biashara ndogondogo zitakazowasaidia kujikimu...
Timu ya Taifa ya soka Harambee Stars imepanda nafasi mbili juu katika msimamo wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni FIFA kutoka 111 hadi 109 msimamo unaotolewa kila...
Shirika la umoja wa mataifa la kupambana na virusi vya UKIMWI, UNAIDS, limesema huenda kukawa na maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi milioni 6 na vifo...