Wasichana katika ukanda wa Pwani wataendelea kupokea elimu ya kujilinda dhidi ya masuala ya kingono kufuatia mpango wa uhamasishaji, ushauri nasaha na hata michezo. Mpango huo...
Mzee wa mtaa eneo la Mavueni kaunti ya Kilifi Catherine Anzazi amewaonya vijana wadogo dhidi ya kujiingiza kwenye makundi ya kihalifu. Akizungumza na Coco Fm, Anzazi...
Changamoto imetolewa kwa idara ya usalama, bodi ya kukabiliana na utumizi wa pombe haramu sawa na dawa za kulevya kuwajibika kikamilifu kwa lengo la kukabiliana na...
Matumani ya bingwa wa mpira wa Tennis Novak Djokovic kupata taji la 25 la Grand slam katika historia ya mchezo huo yangali hai anaposhuka dimbani kwa...
Idara ya usalama eneo la Pwani imeonya viongozi na wanasiasa dhidi ya kuzua semi za uchochezi ambazo huenda zikachangia vurugu eneo hilo. Kamishna wa jimbo la...