Serikali kuu imetenga shilingi bilioni 4.5 kusaidia vyama vya ushirika, akiba na mikopo ili kuimarisha kilimo humu nchini. Akizungumza na vyombo vya habari mkuu wa mawaziri...
Aliyekuwa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari, amefariki katika Hospitali Moja Mjini London leo Jumapili Julai 13, akiwa na umri 82. Kiongozi huyo ambaye aliitawala Nigeria kwa...
Maafisa wa usalama eneo bunge la Likoni Kaunti ya Mombasa wanamzuiliwa mwaname mmoja kwa tuhuma za wizi wa kimabavu baada ya kuvamia hospitali ya kibinafsi akiwa...
Wateja na wanachama wa shirika la uekezaji na mikopo la Imarika Sacco walijumuika na maafisa na shirika hilo katika maeneo mbali mbali kaunti ya Kilifi kwenye...
Wizara ya afya nchini imesema kufikia sasa watoto milioni 3.3 wamepokezwa chanjo ya surua kati ya watoto milioni 6.5 waliolengwa. Ripoti ya wizara hiyo pia iliongeza...