Sekta ya uchukuzi huenda ikaathirika hata zaidi baada ya mamlaka ya kudhibiti kawi nchini kuongeza bei ya mafuta ya petrol , disel na mafuta ya taa....
Mawaziri wawili waziri wa Michezo Salim Mvurya na waziri wa Usalama wa ndaani Kipchumba Murkomen wamethibitisha kwa pamoja viwanja vitakavyotumika kwa mtanange wa CHAN viko tayari....
Waziri wa Michezo Salim Mvurya amesema kwamba lengo lake ni kuona timu ya Soka Harambee Stars katika fainali ya kombe la CHAN linalongoa nanga mwezi ujao...
Huenda wakenya wakagharamika zaidi katika kumudu gharama ya maisha kutokana na ongezeko la bei ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Taa mtawalia. Hii ni kutokana na...
Waziri wa Usalama wa ndaani Kipchumba Murkomen amesema kwamba Taifa la Kenya liko tayari kwa kipute cha CHAN mwezi ujao. Akizungumza na wanahabari hapo jana Murkomen...