Mchezaji wa Tenisi anayeorodheshwa wa kwanza Ulimwenguni Jennik Sinner raia wa Italia amesema kwamba lengo lake ni kutawala dunia sasa baada ya kumpiku mwenzake Carlos Alcaraz...
Chama cha Walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri nchini KUPPET, kimeionya Tume ya uajiri walimu nchini TSC dhidi ya kuwasilisha pendekezo lipya linalokinzana...
Miamba wa Uingereza kilabu ya Chelsea ndiyo mabingwa wa Fainali ya Kombe la Dunia baina ya vilabu baada ya kutia darasi kabila ya kukalifisha PSG kibano...
Wadau wa amani katika kaunti ya Kilifi wameishinikiza jamii kuzingatia amani na uwiano. Wakiongozwa na Harold Mwatua ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya amani katika kaunti...
Wafanyibiashara mjini kilifi kaunti ya kilifi wanasema kuwa biashara mbalimbali zimedorora kutokana na ongezeko la idadi ya wachuuzi ambao wanachuuza kando kando mwa barabara kila mahali....