Sasa ni Rasmi Noni Madueke ni mali ya Arsenal vilabu vyote viwili vimekubaliana kwa ajili ya uhamisho huo wa pauni milioni 52 dhidi ya Muingereza huyo....
Licha ya hali ngumu za kiuchumi zinazoendelea kushuhudiwa nchini, Mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini KRA imetangaza kuongezeka kwa mapato yaliokusanywa mwaka wa kifedha 2024/2025 ikilinganishwa na...
Msanii nyota wa muziki wa kimataifa, Justin Bieber, hatimaye ameachia rasmi albamu yake mpya na ya saba kwa jina “Swag”, ikiwa ni albamu yake ya kwanza...
Wafanyibiashara mjini Kilifi kaunti ya Kilifi wanalalamikia kushuka kwa kiwango cha biashara mjini Kilifi baada ya wateja wanaowategemea kuanza likizo. Kulingana na uchunguzi ulifanywa na Coco...
Wito unazidi kutolewa kwa serikali ya kaunti ya kilifi kuhakikisha kuwa soko lililojengwa miaka 15 eneo la Matano mane linafunguliwa ili kuwawezesha kuendeleza biashara zao bila...