Karani wa bunge la kaunti ya Kilifi Emmanuel Ngala ameagiza kuondolewa kwa walinzi wanaolinda makaazi ya Spika wa bunge la kaunti hiyo Teddy Mwambire. Kulingana na...
Siasa za majibizino kuhusu mtizamo wa vijana wa kizazi cha Gen Z na mabadiliko ya kiuongozi nchini zimeanza kushamiri huku rais William Ruto akionekana kuchukizwa na...
Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua amekanusha madai kwamba mrengo wa upinzani unapanga kumuondoa rais William Samoei Ruto madarakani. Katika taarifa yake ya siku ya Jumatano...
Baadhi ya wakulima wa mahindi katika eneo la chonyi kaunti ya kilifi wanakadiria hasara kutokana na mvua nyingi ambayo inaendelea kunyesha maeneo mengi nchini. Kulingana na...
Wadau mbalimbali wa kilimo wametoa wito kwa Serikali kuanzisha somo la teknologia ya kilimo kwenye mtaala wa masomo humu nchini ili kuimarisha uzalishaji wa chakula nchini....