Matumaini ya Kilabu ya Arsenal kunasa huduma za mshambulizi wa Sporting Lisbon Victor Gyokeres huenda yakagonga mwamba. Haya yanajiri baada ya kizingiti cha kipenge cha uhamisho...
Chama cha Ndondi kaunti ya Mombasa (MCBA) kinatarajia kuanza rasmi kambi ya mafunzo, hii leo katika taasisi ya Alliance Française huko Nyali, kama sehemu ya maandalizi kuelekea...
Tume ya kutetea haki za binadam nchini KNCHR imetoa takwimu zikionyesha watu 31 wamefariki huku wengine 107 wakijeruhiwa kufikia sasa kufuatia maandamano ya siku ya Saba...
Wizara ya Afya nchini imedai kuwa kumekuwepo na ulaghai mkubwa katika mfumo wa zamani wa bima ya afya ya NHIF. Waziri wa Afya, Aden Duale alisema kuwa zaidi...
Nyota wa muziki nchini Tanzania Juma Jux amekanusha taarifa zinazoenea kuwa alichukua mkopo wa Sh25 milioni (Tsh500 milioni) ili kugharamia sherehe za harusi yake. Mwimbaji huyo...