Wakaazi wa eneo la Kajajini mjini Malindi kaunti ya Kilifi wamelaumu kampuni ya usambazaji umeme nchini KPL kwa kutozingatia malalamishi yao. Wakaazi hao walisema kwa mda...
Vijana na wanaharakati wa maswala ya vijana kaunti ya Mombasa wanaitaka serikali ya kitaifa kutekeleza maswala ya msingi yanayohusu uongozi na utawala wa sasa. Vijana hao...
Ofisi ya kamishna mkuu wa haki za kibinadamu wa umoja wa mataifa (OHCHR) imeibua wasiwasi kuhusu maandamano ya siku ya Saba Saba nchini Kenya, ambapo makumi...
Kilabu ya Arsenal imeafikia makubaliano na kiungo mkabaji wa Brenford Christian Norgaad kwa kitita cha pauni milioni 10. Hii ni baada ya vilabu hivyo viwili kukubaliana...
Wakili na mwanasiasa maarufu kutoka Kilifi, George Kithi, ameweka wazi azma yake ya kuendelea kukuza sekta ya muziki na ubunifu katika ukanda wa Pwani ya Kenya...