Wanajeshi watatu wa Kenya wameuawa, huku wengine saba wakiwachwa na majeraha mabaya mwilini, baada ya gari walimokuwa wakisafiria kukanyanga kilipuzi eneo la Badaah, kaunti ya Lamu....
Baadhi ya wakaazi kutoka kaunti ya Mombasa wamepinga matamshi ya Rais William Ruto kuwa viongozi wa kidini wamekuwa mstari wa mbele kuwachochea vijana dhidi ya serikali...
Kilabu ya AC Milan imethibitisha kunasa huduma za kiungo mbunifu na mzee wa kazi Luka Modric kutoka Real Madrid kwa mkataba wa mwaka mmoja. Raia huyo...
Katibu Mkuu wa Muungano wa walimu wakuu wa shule za upili nchini KESSHA Abdinoor Haji ameonya kuhusu uwezekano wa shule kufungwa mapema iwapo pesa za kugharimia...
Wakulima katika eneo la malindi kaunti ya Kilifi wanaiomba serikali ya kaunti kuajiri madaktari zaidi wa mifugo ili kuboresha sekta ya ufugaji kwani wafugaji wa mashinani...