Mbunge wa Gem Elisha Odhiambo ametangaza mipango ya kumchukulia hatua za kisheria aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani Dkt Fred Matiang’i kutokana na madai ya mauaji...
Ofisi ya mke wa Rais Bi Rachel Ruto, imezindua mpango wa lishe bora kupitia utoaji wa maziwa kwa watoto wa shule kama sehemu ya mpango wa...
Naibu Rais Prof Kithure Kindiki ameahidi kuendeleza mpango wa Wezesha jamii maarufu Economic Empowerment Programme maeneo mbalimbali kote nchini. Akizunguza katika kaunti ya Taita taveta wakati...
Wafanyibiashara kaunti ya Mombasa wamesema kuwa vurugu ambazo zimekuwa zikishuhudiwa mara kwa mara humu nchini zimesababisha kudorora kwa biashara nyingi humu nchini. Wakiongozwa na Simoni Owa...
Waziri wa utumishi wa umma nchini Geoffrey Ruku ameendelea kuunga mkono mswada tata wa kudhibiti mikutano na maandamano wa mwaka 2024. Mswada huo, ambao kwa mara...