Wafugaji wa kuku katika eneo la Jilore kaunti ya Kilifi wameitaka serikali ya kaunti kuwapa mafunzo ya kisasa kuwawezesha kuendeleza ufugaji ili kuepuka hasara ambazo wamekuwa...
Ili kufanikisha malengo ya taifa ya kupokea watalii milioni tano ifikapo mwaka 2027 serikali imehimizwa kuharakisha utoaji wa leseni kwa ndege na ndege za kukodi. Wadau...
Kwa mara nyingine tena, majina ya Simon Kabu na Sarah ‘Mtalii’ Njoki yamerudi kwenye vichwa vya habari, baada ya video ya hivi karibuni kusambaa mtandaoni na...
Mahakama ya Upeo imesitisha ujenzi wa kituo cha pili cha kushughulikia nafaka katika bandari ya Mombasa baada ya kutangaza zabuni iliyotolewa na Mamlaka ya bandari nchini...
Bunge la kaunti ya kaunti ya Kilifi limepiga kura na kumtimua mamlakani Spika Teddy Mwambire. Hii ni baada ya wawakilishi wadi 40 kati ya 51 kupiga...