Mkuu wa utumishi wa umma nchini Felix Koskei, ameagiza mashirika yote ya serikali kuanza kutoa huduma za ununuzi kupitia mfumo wa kielektroniki wa serikali almaarufu e-GP...
Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amemshauri rais William Ruto kuondoka madarakani pamoja na serikali yake ili kupisha mazungumzo ya kutafuta mwafaka wa kitaifa. Kalonzo...
Wabunge wanaoegemea chama chake aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua DCP wametangaza mipango ya kuwasilishwa hoja bungeni ya kutaka kutimuliwa madarakani kwa waziri wa usalama wa kitaifa...
Huduma za matibabu katika hospitali za umma kaunti ya Kwale zinatarajiwa kutatizika kuanzia juni 30, 2025 wakati madaktari watakapoanza mgomo wao rasmi. Hii ni baada ya...
Wanajeshi nchini sasa watalazimika kujigharamia chakula chao cha mchana kuanzia Julai mosi mwezi ujao. Hii ni baada ya serikali ya Rais William Ruto kusisitiza kuwa itafutilia...