Serikali ya Misri imepanga kuanzisha kituo cha mwaswala ya maji na usafirishaji baharini jijini Mombasa kama sehemu ya ushirikiano katika ya kenya na Misri. Tangazo hilo...
Mkenya na bingwa mara tatu wa mbio za Olimpiki mita 1500 Faith Kipngetich Kipyegon akosa kuvunja rekodi na kukimbia maili moja chini ya dakika 4 baada...
Bunge la kaunti ya Isiolo limembandua Mamlakani Gavana wa kaunti hiyo Abdi Ibrahim Guyo. Hii ni baada ya Wawakilishi wadi 16 kati ya 18 katika bunge...
Waziri wa Elimu nchini Julius Migos Ogamba amewataka walimu wakuu wa shule za upili kuwapa wanafunzi vyeti vyao vya masomo. Ogamba vile vile aliwapongeza baadhi ya...
Kilabu ya Liverpool imetangaza kupata sahihi ya beki wa kushoto Milos Kerkez raia wa Hungary kutoka kilabu ya AFC Bounemouth ya Uingereza. Mchezaji huyo mwenye umri...