Kaimu Mkurugenzi wa taasisi ya utafiti wa matibabu nchini, KEMRI, Prof. Elijah Songok amesema huenda maelfu ya wananchi wanaofanya kazi kwenye taasisi hiyo kote nchini wakakosa...
Shehena ya dozi milioni 3.2 za chanjo ya ugonjwa wa polio na dozi milioni 3 za chanjo ya BCG inayotumiwa kuzuia ugonjwa wa kifua kikuu zimewasili...
Mahakama ya Shanzu, Kaunti ya Mombasa, imemuachilia kwa dhamana ya shilingi laki mbili au pesa taslimu ya shilingi laki moja msaidizi wa kibinafsi wa Mbunge wa...
Mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa maafisa wa polisi nchini IPOA, imetoa tahadhari kwa taifa kutokana na ongezeko la vifo vya wakenya vinavyotokea katika vituo vya maafisa...
Waziri wa Fedha nchini John Mbadi alisoma bajeti ya kitaifa ya mwaka wa Fedha wa 2025/2026 ambayo ni makadirio ya takriban shilingi trilioni 4.23. Akisoma bajeti...