Mswada unaolenga kumuondoa Mamlakani Spika wa bunge la kaunti ya Kilifi Teddy Mwambire, uliwasilishwa kwa Karani wa bunge hilo Micheal Ngala. Kulingana na utaratibu wa mabunge...
Wimbo mpya wa “BARAKA” unaowakutanisha Rojo Mo, Nyota Ndogo, Chikuzee, na Cannibal The Chosen One unaendelea kumwagiwa sifa kwenye mitandao ya kijamii kwa kukutanisha lejendari wa...
Waziri wa Elimu kaunti ya Kilifi Felkin Kaingu alisema serikali ya kaunti ya Kilifi imeweka mikakati ya kuimarisha mpango wa elimu kwa wote unaotoa elimu ya...
Kocha wa kilabu ya akina dada Vihiga Queens ya Magharibi Bonface Nyamunyamu amesema kwamba kwa sasa wanaangazia kupata taji la akina dada FKF Cup baada ya...
Kilabu ya Tottenham Hotspurs kumtangaza kocha wa sasa wa Brenford Thomas Frank kuwa kocha mpya wa kilabu hiyo kumrithi Ange Postecoglou aliyepigwa kalamu wiki jana kutokana...