Wahudumu wa boda boda huko Mariakani eneo bunge la Kaloleni kaunti ya Kilifi wanatilia shaka ongezeko la watu wanaojifanya wanabodaboda ilihali watekeleza visa vya uhalifu eneo...
Kilabu ya Manchester City imetangaza kukamilisha uhamisho wa wachezaji watatu tayari kwa msimu mpya baada ya kukamilisha vipimo vya kimatibabu. Wachezaji hao watatu ni pamoja na...
Chama cha mawakili nchini LSK kinamtaka Inspakta jenerali wa Polisi nchini Douglas Kanja kuhakikisha kuna uwazi kufuatia kifo tatanishi cha mwanablogu Albert Ojwang’. Akihutubia Wanahabari siku...
Seneta mteule Miraj Abdillahi amewasihi wakaazi wa kaunti ya Mombasa kujisajili katika bima ya Afya ya jamii SHA. Akizungumza katika eneo bunge la Mvita, Miraj alisema...
Rais William Ruto amesema lengo kuu la serikali ya Kenya kwanza ni kuhakikisha wakenya wananufaika kimaendeleo na wala sio siasa za vurugu na migawanyiko. Rais Ruto...