Timu ya taifa la Ureno ndiyo mabingwa taji la Uefa Nations Ligi baaday ya kucharaza majirani wao Uhispania magoli 5-3 kupitia matuta au Penalti ukipenda Hii...
Washikadau wa sekta ya kilimo cha mwani katika Kaunti ya Kwale wametoa wito kwa serikali kuu kulitambua rasmi zao hilo kama zao la kibiashara, ili kuwasaidia...
Wafanyikazi wa fuo za bahari katika Kaunti ya Mombasa wamelalamikia athari za mvua zinazoendelea kunyesha, wakisema hali hiyo imepunguza shughuli zao za kila siku na kuathiri...
Naibu Katibu mkuu wa Chama cha kutetea maslahi ya walimu nchini KNUT Hesbon Otieno aliitaka Tume ya kuajiri walimu nchini TSC kuyapa kipau mbele mazungumzo ya...
Wanawake wanaojishughulisha na biashara ndogondogo katika jiji la Mombasa wametakiwa kuungana kupitia vikundi ili kuimarisha masoko ya bidhaa na huduma zao, si tu ndani ya nchi...