Kilabu ya Tottenham Hotspurs ya London Kaskazini imetangaza kumfuta kazi kocha wake Ange Poetecoglou siku cheche tu baada ya mwalimu huyo kuongoza kilabu yake kuvunja ukimya...
Mkenya na bingwa wa Bara Afrika Ferdinand Omanyala ameweza kumaliza wa tatu mbio za msururu wa Diamond Ligi mjini Rome Italia usiku wa kuamkia leo. Omanyala...
Mwimbaji wa Injili Michael Yena na mkewe Grace Santa wamebarikiwa na mtoto wao wa kwanza. Jua zaidi kuhusu ujio huu wa neema na wimbo mpya ‘Ametutendea’...
Waziri wa Madini na Uchumi wa raslimali za bahari Ali Hassan Joho, aliwahimiza wakenya kujisajili katika mpango wa “Boma Yangu” ili kunufaika na nyumba za bei...
Takribani wasichana elfu moja kaunti ya Lamu wameripotiwa kupata mimba za utotoni kati ya mwaka wa 2024/25 huku visa vingi vikichangiwa na dhulma za kingono na...