MOMBASA – Serikali ya Kaunti ya Mombasa imetakiwa kuchukua hatua za haraka kuondoa taka zilizorundikana katika soko la Marikiti, hatua inayolenga kupunguza hatari ya kiafya na...
Timu ya taifa Harambee Stars imefanya mazoezi ya kwanza nchini Morocco inapojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Chad hapo kesho. Vijana wa nyumbani waliwasili nchini...
Maafisa wa Idara ya upelelezi wa jinai nchini DCI kaunti ya Mombasa wamewakamata washukiwa 6 wa uhalifu wa mtandao wanaoshukiwa kuhusika na ulaghai kwa kutumia teknolojia ya...
Fadhili Bavyombo, msanii maarufu wa muziki wa bango kutoka Pwani ya Kenya, amezua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kuchapisha ujumbe tata wa kisiasa kwenye ukurasa wake...
Afisa wa masuala ya dharura katika Shirika la kutetea haki za kibinadamu la MUHURI Francis Auma alisema serikali kuu inahusika na visa vya utekaji nyara licha...