Idara ya usalama kaunti ya Kilifi imetaja kupungua kwa visa vya mauaji ya wazee wanaohusishwa na tuhma za uchawi katika eneo bunge la Rabai. Naibu Kamishna...
Maafisa wa afya katika kaunti ya Mombasa wamethibitisha kuwepo na mkurupuko wa ugonjwa wa Chikungunya huku zaidi ya wakaazi 25 wakiripotiwa kuambukizwa. Kwa mujibu wa maafisa...
Serikali ya kaunti ya Kilifi imejitenga na vurugu zilizoshuhudiwa wakati wa mazishi ya Afisa wa kaunti katika eneo la Msabaha wadi ya Ganda eneo bunge la...
Daktari wa Afya ya uzazi katika hospitali ya Malindi kaunti ya Kilifi, Sudi Mohamed amewashinikiza wanaume katika eneo bunge la Malindi na kaunti ya Kilifi kwa...
Kilabu ya Chelsea imelipa ada ya pauni milioni 5 na kuvunja mkataba kati yao na winga wa Manchseter United Jadon Sancho ambaye amekuwepo kilabuni humo japo...