Wafanyabiashara katika eneo la Misufini kuelekea Kwa Mwango, mjini Kilifi, wameelezea hofu yao kuhusu hatma ya biashara zao kufuatia tangazo la serikali ya kaunti ya Kilifi...
Wanafunzi wa Gredi ya 9 watajiunga na shule za sekondari mwaka ujao kwa kutumia mfumo mpya wa kielektroniki wa kuwasajili wanafunzi maarufu kama KEMIS. Kulingana na...
Wafugaji wa nyuki katika Kaunti ya Lamu wamelalamikia kuporomoka kwa soko la asali halisi, wakilaumu kuongezeka kwa asali ghushi inayojaa sokoni. Kwa mujibu wa wafugaji hao,...
Ni taarifa nzuri kwa mashabiki wa kilabu ya Manchester United kwani ,Kiungo na nahodha wa kilabu ya Manchester united Bruno Fernandes amekataa ofa ya pauni milioni...
Mkufunzi wa Kilabu ya Gor Mahia Zedekiah Zico Otieno amekubali kwamba ligi imewaponyoka baada ya kutoka sare na kilabu ya Afc Leopards ugani raila odinga katika...