Msanii Zuchu awasha moto mitandaoni baada ya kujiita “Mrs. Nasibu” kwenye Instagram. Je, hii ni ndoa rasmi na Diamond Platnumz au kiki ya muziki? Soma zaidi...
Mkurugenzi wa kituo cha huduma mjini Kilifi kaunti ya Kilifi Linet Magwar amewataka wakaazi wanaotuma maombi ya kupata vitambulisho kuhakikisha wanafuatilia stakabadhi hiyo baada ya kutuma...
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani ameagiza wizara 10 zilizogatuliwa katika serikali za kaunti kupeana kandarasi za kutekeleza miradi ya maendeleo kwa makundi ya akinamama...
Katika maisha ya kila siku, usafiri wa bodaboda umekuwa sehemu muhimu kwa watu wa tabaka mbalimbali mijini na vijijini. Kwa urahisi wake, bei nafuu, na uwezo...
Timu ya taifa Harambee Stars kushuka dimbani kucheza na Chad Juni 7,mechi hio ya kirafiki ikipigwa katika ardhi ya morocco kabla ya mechi ya pili juni...