Mbunge wa Likoni Bi Mishi Mboko amewakosoa baadhi ya wakaazi wa eneo bunge hilo kwa madai ya kukosa kuchukulia kwa uzito kesi za dhulma za kijinsia...
Mabingwa watetezi wa soka kwa shule za upili eneo la Likoni Moi Forces Academy walianza vyema kampeni ya kutetea taji lao kwa kupata ushindi katika mechi...
Baadhi ya ofisi za Shule ya Wavulana ya Kinango kaunti ya Kwale zimeteketea baada ya moto kuzuka katika shuleni hiyo usiku wa kuamkia siku ya Jumatano....
Baadhi ya viongozi wa kisiasa kaunti ya Mombasa wanaendelea kumpigia debe Waziri wa madini na uchumi wa bahari na maziwa nchini, Ali Hassan Joho kuwa Kiongozi...
Waziri wa mazingira nchini Debora Mulongo alisema serikali kuu imepiga hatua katika upanzi wa miti nchini. Mulongo alisema wizara hiyo inalenga kuhamasisha wananfunzi kote nchini kukumbatia...