Wanaharakati wa kupambana na utumizi wa dawa za kulevya kanda ya pwani wamemkosoa mbunge wa Kilifi Kaskazini Owen Baya kutokana na hatua ya kuondoa hoja bungeni...
UEFA NATIONS LEAGUE Mabingwa watetezi wa taji la Uefa Nations Ligi Uhispania wameingia kwenye fainali ya taji hilo kwa kishindo Jumapili hii baada ya kunyuka Ufaransa...
Kama njia mojawapo ya kuimarisha vijana wa Pwani kupitia elimu, Jumuiya ya kaunti za Pwani imeanzisha mpango wa elimu kwa wote unaotoa elimu ya juu kupitia...
Naibu Gavana wa kaunti ya Kilifi Flora Mbetsa Chibule, aliwahimiza wenyeji wa kaunti ya Kilifi kuwa mstari wa mbele kukabiliana na uchafuzi wa mazingira. Akizungumza wakati...
Rais William Ruto alikutana na kushauriana na viongozi kutoka eneo la Nyanza katika Ikulu ya Nairobi siku ya Alhamis. Kulingana na taarifa kutoka Ikulu ya Nairobi,...