Vijana katika Kaunti ya Tana River wameanzisha biashara ya upishi wa sambusa za samaki kwa lengo la kujikwamua kiuchumi kwa kutumia rasilimali za baharini. Wamebuni mbinu...
Wafanyabiashara katika soko la Matano Mane, eneo la Vitengeni, Kaunti ya Kilifi, wameitaka serikali ya kaunti hiyo kuwajengea choo, wakisema ukosefu wa huduma hiyo muhimu umekuwa...
Kilifi, Kenya – Wachuuzi wa viazi vitamu katika barabara ya mjini Kilifi wameripoti kuimarika kwa biashara hiyo ikilinganishwa na vipindi vya nyuma, wakisema hali hiyo imesababishwa...
Daraja la Sabaki eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi limo hatarini ya kuporomoka kufuatia mvua kubwa inayoendelea kuonyesha katika kanda ya Pwani na kusababisha mmomonyoko...
Naibu Rais Prof Kithure Kindiki amesema kuna matumaini ya kuondolewa kwa mswada unaolenga kuharamisha mzao la Mugoka ambao ulikuwa umewasilishwa bungeni. Kindiki alisema hatua hiyo ni...