Waziri wa Elimu nchini Julius Migos ametangaza kwamba Somo la Hisabati litakuwa la lazima katika shule za upili na kubatilisha tamko la awali la serikali la...
Maafisa wa Idara ya upelelezi wa jinai nchini DCI wanachunguza kisa kimoja ambapo afisa wa polisi katika kitengo cha msafara wa rais ameanguka na kufariki alipokuwa...
Waziri wa Elimu nchini Julius Migos amesema serikali imeweka mikakati muafaka ya kuhakikisha fedha za kusimamia shughuli za masomo zinasambazwa kwa wakati unaofaa shuleni. Waziri Migos...
Maelfu ya Waumini wa Kanisa katoliki kote ulimwenguni wamepata fursa ya kupeyana heshima yao ya mwisho kwa mwendazake Papa Francis katika Kanisa Katoliki la St. Peters...
Chama cha walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri nchini KUPPET kimekosoa wanasiasa kwa kuingilia masuala ya walimu nchini hasa kupandishwa vyeo kwa walimu....