Gavana wa kaunti ya Kilifi Gedion Mung’aro amefanya kikao cha mazungumzo na waekezaji kutoka Kampuni ya Gach Group kuhusu uekezaji wa madini katika eneo la Magarini...
Shirika la Afya la AMREF kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Kilifi wawekeza zaidi katika sekta ya afya ili kukabiliana na magonjwa yaliyosaulika. Shirika hilo...
Wakaazi wa maeneo ya Matano Mane katika wadi ya Sokoke kaunti ya Kilifi wameandamana na kufunga barabara ya kutoka Chuo cha ufundi cha Godoma inayopitia shule...
Mahakama ya Malindi kaunti ya Kilifi imetoa amri ya kusitishwa kwa utekelezwaji wa bima ya matibabu ambayo inapeanwa na serikali ya kaunti ya Kilifi. Hii ni...
Leo ni siku ya Malaria Duniani. Katika siku hii wizara ya Afya imeandaa hafla ya hamasisho linatolewa kuhusiana na juhudi za kuudhibiti kabisa ugonjwa huu hatari...