Mwanamume mmoja amefikishwa katika Mahakama ya Kilifi kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi mwanamke kwa kisingizio cha uchawi. Mahakama imearifiwa kwamba mnamo tarehe 6 mwezi Disemba...
Seneta wa kaunti ya Siaya, Oburu Oginga amejitokeza na kutetea ushirikiano wa utendakazi kati ya Rais William Ruto na Kinara wa Chama cha ODM Raila Odinga,...
Jopo la ushauri la viongozi na maimamu wa Takaungu wadi ya Mnarani kaunti ya Kilifi limeeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Aisha Jumwa kuhusiana na tukio...
Wizara ya Kawi nchini imefanya kikao cha mazungumzo na uongozi wa kaunti ya Kilifi, pamoja na wabunge na Wasimamizi wa Shirika la NUPEA kuhusu uekezaji wa...
Jopo la ushauri na maimamu katika eneo la Takaungu wadi ya mnarani kaunti ya Kilifi limepinga madai yalioibuliwa na wanafamilia wa kijana aliyeuawa baada ya kumuua na...