Mwenyekiti wa muungano wa wahudumu wa maboti kaunti ya Kilifi Shallo Issa maarufu captain Shallo amesema kuwa mapato ya wavuvi msimu huu yameongezeka ikilinganishwa na hapo...
Miamba wa Uingereza kilabu ya Manchester United imetinga kwenye fainali ya Europa ligi msimu huu kishindo bila kupoteza hata mechi moja. Haya yanajiri baada ya vijana...
Rais William Ruto amemteua Erastus Edung Ethekon kuwa Mwenyekiti wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC na makamishna 6 wa tume hiyo ili kufanikisha...
Kadinali Robert Francis Prevost kutoka taifa la Marekani ndiye Papa mpya aliyechaguliwa kuongoza Kanisa Katoliki kote duniani. Kadinali Prevost amechagua jina la Papa Leo XIV. Papa...
Uefa Kilabu ya PSG ya Ufaransa kucheza dhidi ya Inter ya Italia kwenye fainali ya uefa baada ya kunyamazisha kabla ya kuzimisha kilabu ya Arsenal kipigo...