Waziri wa Usalama wa ndani Kipchumba Murkomen, anazuru kaunti za Meru, Tharaka Nithi, na Embu, kutathmini hali ya usalama. Murkomen ambaye kwa sasa y uko kwenye...
Kanisa Katoliki Jimbo kuu la Nairobi limetangaza kwamba John Kadinali Njue, hatashiriki Kongamano la kumchagua Papa mpya wa Kanisa Katoliki duniani. Katika taarifa rasmi iliyotolewa na...
Mkufunzi wa kilabu ya Inter Milan ya Italia Simeone Inzaghi amesema kwamba mechi ya leo kati yao na Fc Barcelona ni kufa kupona wakilenga tiketi ya...
Mabingwa mara 21 ligi kuu humu nchini kilabu ya Gor Mahia imeilaumu shirikisho la soka nchini FKF pamoja na kamati inayosimamia ratiba ya mechi za ligi...
Beki wa taifa la Uingereza Alexander Trent Arnold ametangaza kugura kilabu ya Liverpool baada ya msimu huu kukamilika. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 ametangaza...