Mwenyekiti wa wa wahudumu wa maboti Kilifi mjini kaunti ya Kilifi, Shallo Issa maarufu captain Shallo amesisitiza haja ya wavuvi wa eneo hili kuimarishwa kupitia vifaa vya kisasa vya uvuvi....
Mamia ya vijana wamejitokeza katika uwanja wa Karisa Maitha mjini Kilifi Kaunti ya Kilifi kutafuta usajili wa kazi za ughaibuni kama ilivyotangazwa na serikali. Kulingana na...
Kilabu ya akina dada Kenya Police Bullets ndiyo mabingwa wa ligi ya taifa akina dada kwpl baada ya kuwanyuka Trinity starlets magoli 4-0 mechi ya mwisho...
Mbunge wa Malindi Amina Mnyazi amewasuta vikali baadhi ya wanasiasa wanaoendeleza siasa za mgawanyiko, akisema malengo yao ni kuvuruga mipango ya maendeleo kupitia serikali Jumuishi. Mnyazi...
Maafisa wa Idara ya DCI kwa ushirikiano na kitengo maalum cha Polisi wamefanikiwa kuwakamata vijana sita wanaoshukiwa kuwa wahalifu. Katika taarifa ya Polisi, wahalifu nao wanadaiwa...