Mwandishi nguli wa vitabu vya tamthilia Ngugi wa Thiong’o ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 87. Familia imethibitisha kifo chake kilichotokea siku ya Jumatano Mei...
Rais William Ruto amejitokeza na kuomba msamaha kwa niaba ya vijana wa Gen Z dhidi ya utawala wa Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Rais...
Mafisa wa uokoaji kaunti ya Kilifi bado wanaendelea kupiga mbizi baharini kutafuta Mwili wa Mwanabaharia mmoja Kapteni Kivondi, aliyezama Jumamosi usiki wa tarehe 24 Aprili, akiwa...
Kenya imechaguliwa kuandaa mashindano ya mchezo wa Karate wa mabingwa barani Africa wa shirikisho la Japan Karate Association JKA mwaka 2027. Hii ni mara ya kwanza...
Serikali ya kitaifa kupitia wizara ya uchumi na raslimali za baharini na maziwa imetenga kima cha shilingi milioni 600 ili kuanzisha mradi wa bandari ndogo katika...