Mahakama kuu imeagiza kutoapishwa na kuchapishwa katika gazeti rasmi la serikali majina ya Makamishna wapya wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC. Jaji wa...
Mahakama ya Ardhi na Mazingira mjini Malindi imeahirisha uamuzi wa kesi ya kupinga mradi wa Kawi ya Mawe katika kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu. Mahakama...
Gavana wa kaunti ya Tana River Dhado Godhana amezitaka jamii za wakulima na wafugaji kuzika tofauti zao na kuishi kwa Amani na umoja ili kufungua fursa...
Wakaazi wa kaunti ya Lamu kwa ushirikiano na Shirika la kijamii la Save Lamu wamefanya maandamano ya amani kupinga mradi wa uzalishaji wa Kawi ya Mawe...
Kesi dhidi ya mhubiri tata Paul Mackenzie na washukiwa wenzake 38 kuhusu ukatili na ukiukaji wa haki za watoto inaendelea kusikizwa katika mahakama ya watoto ya...