Mkufunzi mshikilizi wa kilabu ya Gor Mahia Zedekiah Zico Otieno amesema kwamba ni wakati mwafaka kwa mechi nyingi za debi la Mashemeji kati mahasimu wa tangu...
Waziri wa Leba nchini Dakta Alfred Mutua amewaonya vijana waliopata nafasi za ajira ughaibuni dhidi ya kujihusisha na visa vya utovu wa nidhamu. Akizungumza wakati wa...
Afisa wa polisi ambaye pia ni muimbaji wa muziki wa Bango, Emmanuel Yaa Baya anayejulikana zaidi kwa jina la kisanii Manu Bayaz, amefichua kilichomsukuma kuingia kwenye...
Sasa ni rasmi kwamba mshambulizi wa timu ya soka Harambee Stars Engineer Michael Ogada Olunga ametangaza kuachana na waajiri wake kilabu ya Al- Duhail ya Qatar...
Klabu ya Arsenal ipo katika hatua za mwisho za mazungumzo na beki wao wa kati, Gabriel Magalhães, kuhusu mkataba mpya. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka...