Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ndio mabingwa wa Klabu bingwa Uropa baada ya kuilaza Inter-Milan magoli 5-0 Jumamosi usiku, katika fainali iliyochezewa katika uwanja wa Allianz Arena jijini...
Wazazi na walimu kaunti ya Kwale wameshinikiza kuhimiza wanafunzi kujiunga zaidi na kundi la maskauti kutokana na idadi ndogo ya maskauti kaunti hiyo. Akizungumza wakati wa...
Maafisa wa usalama eneo la pwani wanasema wamewakamata wanaume 9 wa umri kati ya miaka 26 hadi 30 kwa tuhuma za wizi eneo la Mtwapa kaunti...
Mwanamuziki maarufu duniani, Rihanna, anaomboleza kifo cha baba yake mpendwa, Ronald Fenty, aliyefariki dunia Mei 31, 2025 huko Los Angeles, Marekani, akiwa na umri wa miaka...
Drumrolls tafadhali! 🔔🎉 Mtangazaji mahiri wa Coco FM, Sister Shanniez, hatimaye ametoka soko rasmi! Harusi ya kifahari ya kimyakimya, katikati ya jiji la Mtwapa, imegeuza Jumamosi...