Chama cha ODM kinatarajiwa kuanza awamu ya pili ya uchaguzi wake wa mashinani katika viwango vya wadi nchini. Makamishna wa kamati kuu ya uchaguzi wa chama...
Kinara wa Chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amekosoa uvamizi uliofanywa na kundi la vijana wakati wa ibada ya Jumapili katika Kanisa la PCEA Kasarani jijiji Nairobi....
Idara ya usalama kaunti ya Kwale imefanikiwa kuwatia nguvuni washukiwa 9 wa uhalifu wanaoaminika kuwa vijana wa vipanga katika eneo la Diani kaunti ya Kwale. Kulingana...
Kamishna wa kaunti ya Mombasa Mohammed Noor Hassan amewahakikishia wakaazi wa kaunti hiyo pamoja na watalii wanaolenga kuzuru mjini Mombasa kwamba usalama umeimarishwa hata wakati wa...
Mamlaka ya Mazingira nchini NEMA imefanya kikao na waathiriwa wa sumu ya Lead kutoka kijiji cha Owino Uhuru eneo bunge la Jomvu kaunti ya Mombasa ili...