Mwenyekiti wa maandalizi ya CHAN mwezi Agosti nchini Nicholas Musonye amezionya vikali mashabiki wa Afc Leopards na Gor Mahia dhidi ya vurugu ya aina yoyote siku...
Serikali ya kaunti ya Kilifi imesema visa vya dhulma za kijinsia katika kaunti hiyo vimepungua kwa kiwango kikubwa. Kulingana na Naibu Gavana wa kaunti hiyo Flora...
Wakaazi wa Diani eneo bunge la Msambweni kaunti ya Kwale wanaitaka idara ya upelelezi wa jinai nchini DCI kufanya upekuzi wa maduka ya kuuza dawa. Wakaazi...
Kesi inayomhusu Mhubiri tata Paul Mackenzie na wenzake 92 imesikizwa katika Mahakama ya Mombasa, ambapo shahidi wa 28 na 29 wameeleza ushahidi wao Mahakamani. Shahidi wa...
Rais William Ruto amefanya mabadiliko kadhaa katika baraza lake la mawaziri na kuwateua watu wengine kushikilia nyadhfa hizo huku aliyekuwa Waziri wa utumishi wa umma nchini...